UNAWEZA
kusema sasa Justin Bieber amekuwa hii ni baada ya kutamka wazi kuwa
anahitaji mwanamke ambaye anajiamini na mwaminifu ili aweza kuishi naye
katika maisha yake baadaye.
Hii ni kutokana na star huyo kuwa karibu na mwamitindo Jayde Pierce (19) ambaye hivi karibuni wamekuwa wakiongozana na haifahamiki kama ni wapenzi au la. Japo hakuna aliyeweka wazi uhusiano huo lakini inaelezwa kuwa wawili hao wamekuwa wakikutwa sehemu mbalimbali pamoja ikiwemo kwenye migahawa.
Kabla ya kuwa na Jayde, Bieber alikuwa akihusishwa kutoka na Haley Baldwin baada ya kuachana na mpenzi wake wa awali Selena Gomez.“ Nahitaji mtu ambaye anajiamini na mwaminifu, nahitaji kutafuta msichana anayevutia na ambaye atakuwa na mimi maisha yangu yote. “ Nataka uhusiano salama na watu wasiweze kunizungumzia,”.

Note: Only a member of this blog may post a comment.