Friday, May 15, 2015

Anonymous

JEURI YA FEDHA: Jose Chameleone kwenye headlines na hizi picha 8 za gari alilotoa zawadi.

j2 
Ni pale ambapo unafanya kazi nzuri alafu Boss anafurahia na kuamua kukuzawadia chochote……. na ndivyo ilivyotokea kwa Jose Chameleone legend wa muziki Afrika Mashariki kutokea Uganda kumzawadia meneja wake gari aina ya Volks Wagen baada ya show waliyoiandaa kufanikiwa.
j1
j3
j4
j5
j6
j7
j8

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.