Saturday, May 30, 2015

Anonymous

17 PICHAZ: Kutoka ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, anayesubiriwa hapa ni Mbunge Edward LOWASSA!



Niko karibu na wewe mtu wa nguvu.. Headlines nyingi kwenye vyombo vya habari ni ishu ya Uchaguzi Mkuu TZ 2015, wagombea nao kila mmoja anachukua headlines zake!

Niko ndani ya Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ambako anasubiriwa Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa, kaahidi kuongea kitu leo.. ninakusogezea kila kinachoendelea mdau, haupitwi na chochote ukiwa karibu na kandiliyetu.com.




Mahema ya huduma ya dharura yamewekwa katikati ya Uwanja tayari.




Moja ya geti kubwa la watu kuingilia Uwanjani.








Ukaguzi unaendelea pia kwa kila anaeingia Uwanjani kuhakikisha tu Usalama unakuwepo.

Mabango nayo hayajaachwa yani !!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.