Weekend iliyopita muimbaji wa R&B Chris Brown kutoka Marekani
alifanya show ya ‘X Tour’ nchini Afrika Kusini, na staa wa Nigeria
Wizkid alipata nafasi ya kutumbuiza naye kwenye show ya kwanza
iliyofanyika Durban.
Staa huyo wa Nigeria aliperform kwa mara ya kwanza collabo mpya na Chris Brown ‘African Bad Girl’.
Kupitia Instagram Wizkid alipost vipande vya video ya show hiyo na kuandika: “We performed the song for the first time! @chrisbrownofficial x Wizkid!! 2015 alive!! Song nd video soon!” Kipande kingine cha video kinamuonesha Wizkid akiperform hit yake ya “Show You The Money” huku Chris Brown akigeuka kuwa dancer wake na kusababisha shangwe nyingi kutoka kutoka kwa maelfu ya mashabiki waliohudhuria show hiyo.

Kwenye picha nyingine aliyopiga na Breezy aliandika:
“Durban was mad trill!! @chrisbrownofficial brother 4 life!! Back in joBurg!! Tonight we go all the way up!”
-via bongo5

Note: Only a member of this blog may post a comment.