Sunday, April 5, 2015

Anonymous

Wewe ni Shabiki wa Madame Wema Sepetu? Hii inakuhusu sana tafadhali...

Staa mrembo kutoka Bongo Movies. Wema Sepetu ambaye anatajwa kama ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa mtandaoni kwa hapa Bongo, ni moja kati ya watu wanaowania tuzo kwenye TUZO ZA WATU 2015 katika kipengele cha Muigizaji wa kike anaependwa na watu.

Hii ni nafasi kwa wewe unayemkubali na kumfagilia Wema kuonyesha kuwa mpo wengi kwa kumpigia kura za kutosha kumuwezesha kuibuka mshindi wa tuzo hiyo. Jinsi ya kumpigia kumpigia kula, Tuma neno TUZO kwenda15678 utapokea uujumbe unaoainisha vipengele vyote vya tuzo za watu’ utahitajika kutuma CODE ya kipengele pamoja na jina la unayempendekeza katika kipengele husika...kwa wema tuma TZW8 WEMA ABRAHAM SEPETU

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.