Friday, April 17, 2015

Anonymous

UTATA: KWANINI MASTAA WA KIBONGO HUPONDWA WAKITUPIAMO PICHAZ MITANDAONI?!

Msanii Linah anasema wasanii wa bongo wakiweka picha kwenye mitandao ya jamii wanapondwa, picha hiyo hiyo akiweka Rihanna anasifiwa kisha akamalizia kwa kusema Tusupport wa nyumbani.
We uanonaje mawazo haya ya Linah?! Tua maoni yao hapo chini...!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.