Wednesday, April 22, 2015

Anonymous

USIDANGANYIKE: Huu Ndio Ukweli Kuhusu Picha Iliyosambaa Mitandaoni Kuwa Diamond Anafuga Joka Kubwa Nyumbani Kwake!

Ukisikia mitandao wakati mwingine mibaya, kuna watu wenye nia mbaya wametengeneza picha ya nyumba ya Diamond ikionesha kuwa anafuga nyoka mkubwa. Picha hii kwa sisi wataalamu wa uchoraji inaonekana kuwa ni ya kutengeneza kwani kuna vielelezo macho vinavyoashira kuwa ni ya kuchonga. 
Huyu mtu ameshindwa ujanja mdogo wa kutengeneza kivuli, kwa sababu nyumba inaonyesha kivuli, mtengenezaji amembanananisha sana na ground floor wakati nyoka huwa ni wa mviringo , kuna mambo wengi tu ya kuonesha kuwa amefeli.
Ni hayo wasimwonee wivu mtoto wa wenzie, kapata kihalali. 
Toa maoni yako hapo chini tafadhali...!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.