
Wanawake mtumie umri wenu wakati ya miaka 20 kutengeneza maisha yenu na kujenga career zenu kuanzia miaka ya 30 huko sasa ndo muanze kufikiria kuolewa...Anasema Wendy William Mtangazaji Wa Nchini Marekani... "Ushauri wangu ni kwamba wanawake watumie umri wa miaka 20 kutengeneza maisha yao ndio baadae wafikirie kukutana na mwanaume wa ndoa kwasababu sisi ndio tunaopoteza kwenye ndoa na si wanaume" "Ni vigumu kwa wanaume kumpokea na kukubali ukweli kwa mwanamke mwenye mafanikio...ninafikiri ndoa na watoto humdumaza mwanamke, mara utakapoolewa na kupata watoto itakufanya usifanye yale mambo uliokua uyafanye kwa ajili ya career yako na badala yake utaegemea katika utunzaji wa familia Nakubali kwa 100% na sio kwasababu nipo peke yangu (single) siku zote nilitaka nipate mafanikio yangu kwanza na pesa zangu kwanza kabla sijaamua kutulia na mtu" Misho wa kunukuu. Nani anakubaliana na Wendy na kama yupo sawa kwanini kama hayupo sawa kivipi??? MIMI NAKUBALIANA NAE ASILIMIA 100 MAANA NILICHOKIONA NI KWAMBA TUKIFIKA 30 TUSHAKWISHA KWA MATESO NA MAUMIVU YA NDOA....WAKATI UMRI HUO NDIO ULITAKIWA UWE HOT HOT

Note: Only a member of this blog may post a comment.