Thursday, April 16, 2015

Anonymous

Nay wa Mitego aendelea kumuumiza aliyekuwa mume wa Shamsa Ford!

Aliyekuwa mume wa Shamsa Ford, Dicky, anaonekana ameshindwa kukubali kusonga mbele na maisha yake baada ya kuvunjika kwa ndoa yake na muigizaji huyo.
11084889_924993470885865_478964438_n
Dicky amekuwa akitumia mitandao ya kijamii kuelezea mambo mbalimbali hasa jinsi anavyommiss mtoto wao wa kiume.
Jana kwenye post ya Shamsa Instagram aliandika jinsi anavyoumia kuwa mbali na mwanae.
“My son will be alwayz my son no one can change dat even if an dying today or tommorow terry he will alwayz remember his dady face no is gonna changes dat nimempa sura ya babu yake na mm shame to everyone who think stupid terry alwayzlove soon subirini kidogo ntaongea soon,” aliandika kwenye post hiyo.
11116753_449092058582179_315246567_n
Wakati huo huo Shamsa anaonekana kuwa ‘happy’ na uhusiano wake mpya na rapper Nay wa Mitego. Shamsa alipost picha hiyo juu na kuandika:
Miss u so much my endlesslove. @######

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.