Manchester
United ilicheza na Chelsea weekend hii iliyopita na kukutana na kipigo
cha goli moja bila ambapo ushindi huo Chelsea ulipatikana kupitia kwa
Hazard dakika ya 38.
Baada ya hapo utani ulioanza kusambaa
kwenye mitandao ni pamoja na hiyo picha hapo juu, hii inayofata hapa
chini ilisambaa kabla ya mechi lakini hiyo ya chini yake ndio ikawa kama
muendelezo wa hii ya juu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.