Tuesday, April 7, 2015

Anonymous

PICHAZ: [FULL MITEGO] SHILOLE AZIDI KUCHAFUA INSTA, ATUPIAMO HII NA KUANDIKA UJUMBE WA WAMUACHE!


Baada ya kupost picha hiyo Shilole kaandika maneno haya:
"Yaani watu mnapenda kunipa raha sana mm mwenywe nimejikubali na mm nipo swimming mlitaka nivae dela??? Nioge nalo kwa hiyo tunapangiana na maisha ya nyumban pia lol! Kila mtu na life yake naombeni mniache nifanye yangu"

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.