WATU 18 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nganga
kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso maeneo ya mlimani kilometa
kadhaa kutoka Ruaha-Mbuyuni katika barabara ya Iringa-Morogoro ambapo
magari yote mawili yameteketea kwa moto.
Habari
kutoka eneo la tukio zinasema kwamba mmoja wa watu waliofariki ni
dereva wa Fuso ambao wanasemekana waliteketea kwa moto huo ulioyaharibu
magari hayo.







Note: Only a member of this blog may post a comment.