MAPEMA mwaka jana, rapa wa nchini Kenya, CMB Prezzo katika mahojiano
yake redioni alisema atakuwa akiwania nafasi ya kisiasa katika uchaguzi
mkuu ujao.
Mbali
na kuwa alisema siku moja atawania nafasi ya urais, baadhi ya vyanzo
vya habari vimeeleza kuwa kwa sasa staa huyo anajiandaa kuzindua kampeni
yake ya kuingia kwenye siasa.
Prezzo mwenyewe amethibitisha taarifa hizo kwa kusema: "Ni kweli nina mpango wa kuingia kwenye siasa"
"Kwa sasa bado nashauriana na washauri wangu wa kisiasa na nikiwa tayari na kujua ni nafasi gani niwanie, nitaujulisha umma", alisema mwanamuziki huyo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.