Monday, April 6, 2015

Anonymous

Mama G na Baba Wanjera Wanogesha Huko Switzerland!

Ommy Dimpoz akiwa na Mama G for Germany
Waigizaji na mchekeshaji anaefanyia kazi zake huko ughaibuni, Mama G for Germany ‘Ronet’ siku ya jana alikonga nyoyo za mashabiki wa mjini Zurich nchini Switzerland kwa kutoa burudani ya vichekesho kabla ya msanii Ommy Dimpoz ‘Baba Wanjera’ kutoka hapa bongo kupanda stejini kupiga shoo ya nguvu iliyowafanya mashabiki waliohudhulia shoo hiyo kufurahia mwanzo mwisho. 
Mama G ni moja kati ya wakali wa sanaa ya vichekesho anaefanya vizuri huko nchi za nje. Tazama moja kati ya kazi zake HAPA

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.