Monday, April 6, 2015

Anonymous

4 PICHAZ MURUA MATATA: Tazama Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza

Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share nasi kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza amabako alikwenda hivi juzi kati kikazi zaidi.
Huu ndio ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA hapo jana. Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, Sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji wa rembo zaidi hapa Bongo.
Kwa upande wangu Irene ndio staa alitokelezea bomba zaidi kwa siku ya jana. Umependeza sana Uwoya.
Mzee wa Ubuyu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.