Tuesday, April 21, 2015

Anonymous

Kuhusu Gari ya DIAMOND Platinumz Kugongwa na Daladala jijini Dar #UHeard

2006_lexus_rx-330_4dr-suv_base_fq_oem_5_500
Imemfikia nyingine leo Soudy Brown, shuhuda wake mmoja amesema alishuhudia mzozo kati ya Diamond Platnumz na dereva wa daladala moja ya abiria ambayo inafanya safari zake kati ya Kawe na Mbagala.. ishu ni kwamba daladala hiyo ilikwangua gari ya Diamond. 
Soudy Brown alimtafuta Diamond lakini simu yake haikupokelewa.. shuhuda huyo amesema mzozo haukufikia muafaka, daladala hiyo iliondoka eneo hilo kama imetoroka tukio hivi.
Unaweza kuisikiliza U Heard Soudy akiongea na shuhuda wake hapa..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.