Saturday, April 18, 2015

Anonymous

JE, WAJUA WEMA SEPETU AMEWAHI KUTOA MIMBA NGAPI?! YEYE MWENYEWE KAFUNGUKA HAPA...!

Miss Wema Sepetu
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.

Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wame-hustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.

Anasema tangu apate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawahi kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.
Source: EFM

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.