Sunday, April 19, 2015

Anonymous

HAYA NDIO MAAJABU YA SOKA! KUFUNGWA TWAFUNGWA LAKINI CHENGA TWAWALA SIYE...


Katika mpira wa miguu ni namba ya magoli tu yenye maana! Mannchester United pamoja na kucheza vizuri - walikufa 1-0 mbele ya mbinu za Jose Mourinho! wa Chelsea.
Bao pekee la ushindi lilifungwa dakika ya 38' na Eden Hazard

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.