Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Saturday, April 18, 2015
Anonymous
HABARI PICHAZ: ZITTO KABWE ANA NINI HASA MPAKA HALI IWE HIVI GHAFLA TU KAMA CHAFYA?!
Wadau hivi ni nini siri ya umati huu katika mikutano ya ACT?! Yaani mpaka watu wananyeshewa mvua wakimsikiliza Zitto Kabwe! Ndio kusema kuna kitu watu wanakihtaji na ni Zitto pekee anayeweza kuwapatia?
Note: Only a member of this blog may post a comment.