HABARI PICHAZ: IRENE UWOYA ANA MIMBA YA PILI?! SOMA ALICHOKIANDIKA NA TAZAMA PICHAZ HAPA...
Staa mrembo wa Bongo, Irene Uwoya amewaacha njia panda mashabiki wake
baada ya kubandika picha mtandaoni akionekana yupo bafuni akiwa
amejishika tumbo na kuiandikia maneno akiwatata mashabiki wamtajiae
majina mazuri ya kike.
“Ntajie majina mazuri yakike unayoyapenda.....”- Uwoya aliandika.
Kauli hii ilizua maswali mengi kutoka kwa mashabiki wakioji kama
mrembo ambae ni mama wa mtoto mmoja kama anaujamzito au la, wengine
walienda mbali zaidi wakisema kuwa inawezekana akawa ni mjauzito na
anatarajia kujifungua mtoto wa kike.
Mbali komenti nyingi kumtaka atoe maelezo zaidi juu ya hili, Uwoya
hakujitokeza kusema lolote hivyo hadi sasa mashabiki wake wapo njia
panda wakijiuliza, …ana ujauzito au hana?
Swaga kama hizi ya mtandaoni huwa mara nyingi zina maaanisha picha
picha za tumbo zimekuwa nyingi sana kutoka kwa mrembo huyo. ngoja
tuendelee kusubiri kwani hili ni jambo la kheri.
Mzee wa Ubuyu
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.