Kwa mujibu wa mtoa habari wetu huyu marehemu Lusekelo maarufu kama seki alikuwa ni mfanyabiashara hapa mjini mwenye biashara kadhaa na alikuwa na uwezo mzuri tu wa kifedha.
Habari za uhakika zinasema kuwa Chanzo cha kifo cha Bw Seck kilisababishwa na kumuokoa mtoto wake aliyekuwa anaangukia meza, kwa bahati mbaya akaangukia yeye meza hiyo na kumuumiza vibaya sehemu ambayo haijaweza kujulikana na kupelekea kifo chake.
Jana ikiwa ni siku ya Kumbukumbu ya kuzaliwa Lulu, ambapo ndugu Seck alifariki dunia hali iliyomchanganya LULU mpaka kufikia kufunga akaunti yake ya Instagram iliyokuwa na “followers” (mashabiki ) zaidi ya laki nne na thelasini na mbili (432,000+).
Mungu Ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.

Note: Only a member of this blog may post a comment.