Wednesday, April 22, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: BASI LAGONGANA NA LORI SHINYANGA LAUA WENGI

Hivi punde kumetokea ajali basi la Unique namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori la kampuni la Coca Cola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye Shinyanga. Taarifa za awali zinaarifu ya kuwa watu wengi wamefariki na majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Taarifa zaidi na picha na tutawaleteeni hivi punde hapa hapa KandiliYetu, endelea kufuatilia mtandao huu!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.