Sunday, April 19, 2015

Anonymous

ALICHOKISEMA NAY WA MITEGO BAADA YA DAKTARI KUTHIBITISHA MTOTO NI WA KWAKE!

Akizungumzia kipimo cha DNA alichoenda kufanya na mtoto wake amesema aliamua kufanya hivyo kwa usalama wa mtoto kutokana na kile kilichotokea ili asije kupata shida badae kipimo ambacho kilichukua zaidi ya wiki mbili na wakili wake ndi alienda kuchukua majibu.. amesema alikuwa na wasiwasi kwa sababu siku zote mama ndio anayemjua baba wa mtoto, lakini anamshukuru Mungu yuko na wa watoto wake wote ni wake na yeye ni baba mzuri na hana tatizo na mwanamke yeyote ameanza maisha mapya na watoto wake!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.