AJALI TENA LEO HII: BASI LA PRINCES MUNAA [DAR-MWANZA] LAPINDUKA DODOMA!
Gari la Princes Munaa lenye namba za usajili T183 CRW likiwa limepiga mweleka.
Muda
mfupi uliopita, kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa
likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana
Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha
katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.