Monday, April 20, 2015

Anonymous

18 PICHAZ: JEURI YA PESA...Kutana na gari kali za kifahari zaidi #ToyotaAltezza


Kazi yangu nyingine ni kukuweka karibu zaidi na vitu ambavyo inawezekana ungevihitaji au ungependa uwe navyo lakini hukujua pa kuanzia.


 Post hii ni maalum kwa wale watu wangu ambao wanamiliki magari aina ya Altezza na wangependa wajiongeze kidogo, yani gari liwe na mvuto tofauti na mwonekano wake wa sasa.

2
Unaweza kuona jinsi ambavyo wenzetu wameyatengeneza magari yao vizuri na yakapendeza bila kuweka urembo mwingi, kwangu kitu kikubwa cha kwanza kwenye kulifanya gari livutie ni rims.

3
Uzuri ni kwamba ukishapata idea ya unachokitaka ni rahisi kubadilisha gari lako manake siku hizi mitaani kuna mafundi wazuri sana na vitu vingi vinapatikana kirahisi.

4


5

6

7

8

9

10

11

12

13

14

15

16

17

18 
Usiache kuniandikia comment yako mdau wangu, gari namba ngapi limekuvutia zaidi? nini ulichokipenda?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.