Tuesday, March 17, 2015

Anonymous

YUSUPH MLELA ATOA KAULI TATA KUHUSU BONGO MOVIES NA HOLLYWOOD!

Mwigizaji Mlela anasema anasema tofauti kubwa ya filamu nje yaani Africa, Ulaya na America na zile za bongo ni fedha tu. Wenzetu wanawekeza fedha nyingi kwenye filamu moja tofauti na sisi. Je wewe mdau unaamini maneno yake?

Kwamba kama tukiamua siku moja kuwekeza pesa nyingi katika filamu zetu siku moja Mlela anaweza kuingia katika tuzo za Oscar kupambana na wakina Denzel Washngton au Jammie Fox?
Napata mashaka kidogo mimi naamini tofauti ni kubwa zaidi ya pesa.

By Iron Finger Via JF

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.