Monday, March 16, 2015

Anonymous

YULE MDADA BINGWA WA KUTOKA NA VIDUME BONGO MUVI AFUNGUKA MAZITO!



Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amefunguka kuwa anaamini amepigwa ‘juju’ kutokana na kuugua ugonjwa ambao haukutambulika hospitalini.

Akizungumza machache na paparazi wetu akiwa nyumbani kwake anapougulia maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Bozi alisema, anaamini amerogwa na wasanii wenzake wasiopenda maendeleo baada ya kupata dili la kucheza filamu katika Kundi la Kaole.
“Roho inaniuma sana yaani ni jinsi gani wasanii tulivyokuwa hatupendani, ghafla tu nilipofika nyumbani baada ya kutokea Moro kwenye dili la kazi hali yangu ilibadilika, nikahisi kichwa kuniuma sana na maumivu makali tumboni, nilipoenda hospitali niliambiwa sina tatizo ikanilazimu nitafute mtaalamu na kuyabaini hayo maana lengo lao walitaka kunimaliza, nashukuru Mungu kwa sasa nimepata nafuu,” alisema…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.