Monday, March 30, 2015

Anonymous

VIDEO+PICHAZ: Tazama Behind the Scenes ya Iyanya Feat. Diamond Platnumz- Nakupenda

Hufai eti, wansema Unavuaga tu Sketi….. Na Ntaregret we Shuka Mwenzako Blangeti….!!!!!! Onset!!#NAKUPENDA @iyanya ft your Boy!” @
Hiyo ni caption aliyoiweka Diamond Platnumz MARCH 9 2015 pamoja na PICHA wakiwa na Iyanya Nigeria kazi ya kurekodi video ya wimbo Nakupenda ilikuwa inaendelea hapo.
Iyanya na Dai
Leo nimekutana na kipisi cha hii video ambacho ni behind the scenes ya wimbo huo, play hapa uone mtu wangu huu mzigo ukitoka utakuwa na ladha gani.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.