Pharell Williams ana ngoma yake ya ‘Happy’ ambayo karibu kila mtu anayependa muziki anaipenda na hii pia, ujumbe wa wimbo huo unahimiza furaha mtu wangu.. lakini ujumbe huo ulimfanya Pharell kuwa mgeni rasmi kabisa ndani ya ukumbi wa Umoja wa Mataifa na kwenye ujumbe wake alioutoa alisema kuwa na furaha ni haki yako ya msingi kuipata tangu unapozaliwa; “happiness is your birthright“– Pharell Williams.
Siku hii ya furaha duniani ilitangazwa rasmi kuanza kuazimishwa mwaka 2012 na Umoja wa Mataifa UN.

Note: Only a member of this blog may post a comment.