Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, March 24, 2015
Anonymous
VIDEO: Tazama kionjo cha video mpya ya Shetta Feat. Kcee – Shikorobo
Ni saa chache zimebaki kabla hujapata nafasi ya kuiona na kuisikiliza
kazi mpya ya Shetta ‘Shikorobo’ aliyomshirikisha rapper kutoka Nigeria
Kcee, itakayotoka kesho March 25. Tazama kionjo kifupi cha video hiyo
iliyoongozwa na Godfather na kufanyika nchini Afrika Kusini.
Note: Only a member of this blog may post a comment.