Friday, March 13, 2015

Anonymous

VIDEO: Majambazi Walivyopora Bunduki na Kuiba Jijini - Dar


Video iliyopachikwa hapo chini (imepatikana via WhatsApp) inaonesha tukio la jana Alhamisi, Machi 12, 2015 la majambazi wakivamia na kisha kupora fedha kutoka kwenye maduka katika eneo la Mikochieni mitaa ya kwa Mwalimu Nyerere kutoka kwenye ATM ya CRDB na duka la vinywaji la Mohans na maduka mengine ya jirani, ambapo inasadikiwa kuwa kiasi cha shilingi milioni 100/= kilichukuliwa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.