Hii
story iko kwenye Headlines Indonesia.. Ilikuwa ni msiba wa mtu mmoja
ambapo wakiwa njiani kwenda kwenye mazishi likatokea tukio jingine,
story ikawa kubwa zaidi.
Waombolezaji walikuwa wamebeba mwili wa
marehemu kwenda makaburini kwa ajili ya mazishi, mwili wa marehemu
uliokuwa umebebwa ulidondoka bila wao kujua na kuendelea na safari..
watu waliokuwa nyuma yao wakaona mwili huo katikati ya barabara.
Ilibidi wawaite na kuwaambia kwamba
mwili wa marehemu walikuwa wameuacha nyuma yao, wakarudi kuuchukua
na kuurudishia ndani ya jeneza na kuendelea na safari ya kwenda kuzika.
Video ya tukio hilo iliyowekwa katika mtandao imeshaangaliwa na watu zaidi ya 110,000 ndani ya siku mbili.
Bonyeza play hapa chini kuangalia tukio hilo…
Bonyeza play hapa chini kuangalia tukio hilo…

Note: Only a member of this blog may post a comment.