Jarida la soka la nchini Ufaransa limetoa orodha ya wanasoka na makocha wenye utajiri mkubwa kwa sasa ulimwenguni,orodha hiyo kwa upande wa wanasoka inaongozwa na Lionel Messi,utajili huo wa Messi unatokana na jumla ya pesa zote anazozipata kutokana na mshahara pamoja na mikataba aliyosaini na makampuni mbali mbali.
Wakati Messi akiongoza kwa mkwanja kwa upande wa makocha Mreno Jose Mourinho yeye anawakimbiza wenzake kwa kupata mkwanja mnono kutokana na kazi yake ya ukocha,Mourinho kwasasa ni kocha wa Chelsea ya ligi kuu ya England

Note: Only a member of this blog may post a comment.