Pichani Juu: Kundi la watu likiwa linamsapoti msanii Joseph Haule almaarufu Profesa Jay (Anayepunga mkono toka kwenye gari) huko Mikumi!
Msanii huyo alitangaza rasmi kugombea ubunge katika jimbo hilo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
Ukiwa kama wa mdau aidha wa sanaa au siasa una maoni gani kuhusu hili?! Tfadhali shuka hapo chini toa maoni yako!


Note: Only a member of this blog may post a comment.