Monday, March 16, 2015

Anonymous

PICHAZ: ZITTO KABWE ALIVYOAGA RASMI KIGOMA, MAAMUZI YAKE YAPINGWA NA WENGI!


4mwndg
Wakazi wa Kigoma Kaskazini leo(Jumapili) walikusanyika pamoja kumsikiliza Mbunge wao Zitto Kabwe ambaye siku ya leo ameamua kuitumia rasmi kama kuwaaga wananchi  na wapiga kura wa jimbo lake.

Zitto Kabwe ambaye Ijumaa ya wiki hii kupitia mtandao wa kijamii kwenye akaunti yake ya Twitter ali-break news kwamba hatogombea tena Ubunge kwenye uchaguzi ujao wa mwishoni mwa mwaka huu.
twitter
Baada ya hotuba yake kumalizika, millardayo ilifanikiwa kuongea na baadhi ya wananchi lakini asilimia kubwa ya wananchi hawajamuunga mkono kwa uamuzi huo wa Mbunge wao Zitto Kabwe wa kutogombea tena ubunge,hizi ni baadhi ya picha mtu wangu.
1mwndg
7mwndg
6mwndg
5mwndg
2mwndg
3mwndg 
Picha zote na millardayo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.