Friday, March 13, 2015

Anonymous

PICHAZ: TAZAMA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WANAVYOTUA NA KUONDOKA MAZOEZINI



Kawaida hapa nyumbani, wachezaji wa timu mbalimbali kubwa hupelekwa mazoezini na basi.

Huo ndiyo utaratibu, lakini inapofikia katika timu kubwa, kila mchezaji hutinga mazoezini na usafiri wake. Picha hizi zinaonyesha namna wachezaji wa Man United ambavyo hutinga na kuondoka mazoezini wakiwa na usafiri wao.



USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.