Monday, March 16, 2015

Anonymous

PICHAZ: TAZAMA BARABARA ZILIZOPITA SEHEMU ZA HATARI ZAIDI DUNIANI

Pamoja na wimbi kubwa la ajali za barabarani kwa Tanzania kichocheo kuwa ni mwendo kasi na uzembe wa madereva. Hebu jiulize kama barabara za aina hii zikiwa nyingi tena katika ardhi hii ya Tanzania hali itakuwaje? Ona mwenyewe baadhi ya barabara hizo zilizopo kwenye maeneo tofauti hapa duniani!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.