Tuesday, March 24, 2015

Anonymous

PICHAZ: MAJAMBAZI WAWILI WA KIZUNGU KUTOKA ITALIA WAKIONA CHA MOTO KWA KUPIGWA NA RISASI JIJINI DAR


SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI
Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.

WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA

GARI WALIYOTUMIA KUPORA

POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI

AKIONYESHA KOVU ALILOPIGWA RISASI

WAKIPANDISHWA KWENYE GARI WOTE WAWILI


USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.