Monday, March 16, 2015

Anonymous

PICHAZ [MAAJABU] MWANAMKE AONESHA UMAHIRI WAKE WA KUOGELEA BAHARINI LICHA yA KUWA HANA MKONO MMOJA

Bethany akiwa na mme wake kwenye fukwe za bahari.
Bethany Hamilton ambaye alipoteza mkono wake kwa shambulio la papa mapema wiki hii alimuonyesha mwanae umahiri wa kuogelea kwenye mawimbi ya bahari katika pwani ya Hawaii nchini Marekani.
Mwanamke huyo jasiri licha ya kupoteza mkono kwa shambulio la papa bado anapenda kuogelea.
Bethany wakati anapoteza mkono wake alikuwa na umri wa miaka 13, alipoteza mkono wake baada ya kuuweka juu ya papa mkubwa huku akiwa nje ya mtumbwi.
Huyu ndiye papa aliyemshambulia.
Bethany alisema papa huyo alikuwa na urefu wa futi 15 na baada ya kumshambulia watu wenye hasira walimuua na kumtoa nje ya fukwe.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.