Tuesday, March 10, 2015

Anonymous

PAH ONE imerudi na hii mpya mtu wangu, -‘Kizubaneta’… Feat L Tido (VIDEO)


Hii ni miongoni kwa video zilizoachiwa leo hapa TZ, kundi la PAH ONE wamemshirikisha L Tido wa Afrika Kusini, wimbo unaitwa ‘KIZUBANETA’, kazi ya video imefanywa na director Adam Juma.
Hawa jamaa waliwahi kuwa kundi moja na Aika na Nahreel, kwa time yako unaweza kucheki video hiyo mpya! 
===>>BONYEZA HAPA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.