Monday, March 16, 2015

Anonymous

MZUNGU Avua viatu na kumuuzia mpita njia -PICHAZ


Mwanaume huyo akimpatia mteja viatu ili aviangalie Mwanaume mmoja jijini Athens nchini Uturuki ameonekana akivua viatu na kutaka kumuuzia mpita njia mmoja lakini wameshindwa kuafikiana bei na kuamua kuachana naye.
Fatilia picha za kisa hiki hapa;

Wakielekea kuafiki makubaliano

Wakishindwa kuafikiana bei

Jamaa akisononeka baada ya kushindwa kuafikiana

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.