Tuesday, March 24, 2015

Anonymous

MWANZA HALI TETE TENA! Vurugu zaibuka POLISI na WANANCHI!

#‎HABARI‬ Vurugu zaibuka Mkoani Mwanza
Polisi mkoani Mwanza wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji waliojikusanya mjini misungwi kupinga kitendo cha Polisi kumpiga kijana Magata Salum aliyekufa leo.
Wananchi hao wamejikusanya kupinga mwili wa kijana huyo Magata Salum kupelekwa kituo cha polisi wala kushughulikiwa na polisi kwa madai kuwa amekufa kwa kupigwa na polisi.
Endelea kufuatilia hapa kwa taarifa zaidi!
-via EATV

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.