Monday, March 9, 2015

Anonymous

Mwanamuziki Nchini Afrika Kusini Afariki Dunia Baada ya Kupigwa na Mpenzi Wak wa kike!

  Huyu  ndiye mwanamuziki aliyeuawa baada ya kupokea kichapo kutoka kwa mpenzi wake
Huyu ndiye mwanamuziki aliyeuawa baada ya kupokea kichapo kutoka kwa mpenzi wake
Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za rapa nchini Afrika Kusini Nkululeko Habedi ameuawa baada ya kugombana na mpenzi wake wa kike.
Mdogo wa mwanamuziki huyo alitoa taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa alimuona kaka yake anapoteza maisha kutokana na kutokwa na damu nyingi.
Ndugu wa mwanamuziki huyo ambao walishuhudia tukio hilo wamesema kuwa waliamka mapema kuelekea kwa kaka yao  na baada ya kufika karibu na nyumba yake walisikia kelele zikitoka ndani, muda mfupi walimuona rapa huyo akiwa anatokwa na damu nyingi kutokana na kugombana na mpenzi wake kwa muda wa masaa mawili.
Polisi nchini humo wamesema kuwa mpenzi wake huyo atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
Hizi ni baadhi ya kutoka eneo la tukio:Wasanii wenzake wakiwa katika sehemu ya tukio
Watu wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye eneo la tukio
Watu wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye eneo la tukio
Watu wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye eneo la tukio
Mdogo mtu aliyevaa tshirt ya kijani akiwa na majonzi
Mdogo mtu aliyevaa tshirt ya kijani akiwa na majonzi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.