Monday, March 16, 2015

Anonymous

LAZIMA UKAE! Yamkuta makubwa baada ya kumshambulia mbwa mmoja!


Mbwa wakijaribu kushambulia gari
Kituko cha kushangaza mwanaume mmoja nchini China amekumbwa na mkasa wa gari lake kushambuliwa na mbwa baada ya kumpiga mbwa mmoja ambaye alikasirika na kwenda kuwaita mbwa wenzake ambao walikuja na kuanza kushambulia gari hilo huku mwenye gari akiwa ndani ya super market.

Mbwa wakimsubiria jamaa atoke nje ya gari

Mbwa wakiendelea kuharibu gari
Hiyo inamaanisha kuwa jamaa angethubutu kusogelea gari lake mbwa hao wangemshambulia.
-via taarifanews

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.