Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, March 13, 2015
Anonymous
Jux ameingia kazini kuifanya video yake mpya, eti nani alikuepo pembeni yake na akaongoza?
Mzigo umepigwa beach tu na ndani yake kahusika sana Jux pamoja na
Mrembo Maggy ambae aliwahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania na
akachukua sifa kubwa ya kucheza kama Ciara.
Ukishaitazama hapa chini usiache kuniachia yako ya moyoni mtu wangu kwenye comment.
Note: Only a member of this blog may post a comment.