Friday, March 6, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ST JOHN, DODOMA WAANDAMANA HIVI SASA!

WANACHUO cha chuo cha st john cha mkoa wa dodoma wamepanga kufanya maandamano ya amani hii leo yanayoanza majira ya saa tatu kamili za asubuhi kuelekea bungeni kwa lengo la kupinga fedha ambazo zimechukuliwa katika sakata la escrow wakati wao wanafunzi wakilia mikopo huku serikali ikitoa asilimia 51 ya mikopo.

Akizungumza katika kipindi cha fahari africa hii leo kinachorushwa kila siku za wiki asubuhi amesema kuwa wanatarajiwa kuanza rasmi maandamano hayo kuanzia saa tatu kamili za asubuhi na teari wameshatoa taarifa kwa jeshi la polisi kuwa wanaandamana asubuhi ya leo..
Taarifa zaidi itafuata, endelea kufuatilia hapa!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.