Sunday, March 15, 2015

Anonymous

Breaking News: Ajali Nyingine Dodoma Usiku Huu, Dereva Boda Boda Anusurika Kifo -PICHAZ



Ajali mbaya ya bodaboda imetokea usiku huu maeneo ya barabara kuu kwenye mataa yaendayo Area D ambapo Dereva wa Bodaboda kagongwa na gari ndogo iliyokuwa inatoka maeneo ya mjini kuelekea Area D

Dereva Bodaboda huyo akiwa anaugulia maumivu ya mguu mara baada ya kupata ajali na kunusurika kifo hivi punde katika mataa ya barabara iendayo AREA D - DODOMA
Source: Lindiyetu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.