Friday, March 27, 2015

Anonymous

BIG SOO! MSHIRIKI MISS TZ ANASWA ‘AKICHIMBA DAWA’ BARABARANI!

 Maureen Gislary
Issa Mnally
Mrembo mwenye ‘taito’ ya ushiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2005/06, Maureen Gislary, hivi karibuni amenaswa usiku akijisaidia haja ndogo barabarani (kuchimba dawa) huku akiwa hana wasiwasi.
 

Ilikuwa mida ya saa 7 usiku maeneo ya Magomeni jijini Dar ambapo mrembo huyo alionekana kuzidiwa na kuamua kufanya hivyo huku baadhi ya watu wakimpiga chabo.
Hata hivyo, baada ya kumaliza haja yake, Maureen alinyanyuka na kurudi alipokuwa amekaa na kuendelea kunywa pombe.Paparazi wetu alipomfuata na kumuuliza imekuwaje amefanya kitendo kile kisicho cha kistaarabu, hakutoa ushirikiano.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.