“Wapenzi mnaotukana kisa nimevaa kipini kwa pua msipoteze muda hiko
akitoki ndo kimeshafika zaidi nitakua tuu na badilisha leo cha njano
kesho chekundu, why mnakua wagumu kuelewa kinipendeze kisinipendeze ni mimi so please msinijazie comment za zamatusi nakukosoa kwenye picha zangu kama nyie ndo wavaaji sitaki ushauri sitaki jamani pipo chilaaax me nakipini dam dam... in love with my kipini najikuta jacq khan mwenzenu kila nikijitizama....Am so soleee. Nawapenda
sana napenda ushauri lakini kipini kiacheeni pua kitasharikiana na pua
na uso kushauriana kwamba leo kivaliwe au kisivaliwe lakini siyo wewe
mtukanaji ok byeeeee”-Wolper amebandika andiko hilo kwenye ukurasa wake mtandaoni.
Nadhani ameeleweka, wale wanaomshabulia kwa lugha kali muache jamani.
Mzee wa Ubuyu

Note: Only a member of this blog may post a comment.