NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa.
Ndege
hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini
Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani.
Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings imeripotiwa kuanguka katikati ya Barcelonnette na Digne.
Rais wa Ufaransa amesema: "Mazingira ya ajali hiyo ambayo bado hayajawekwa bayana, yanawapa wasiwasi kufikiri kama kuna mtu yeyote aliyenusurika"

Note: Only a member of this blog may post a comment.